Najaribu kuomba huruma yako kuniachia salio la nauli tu, manake nyie vigoli huwa mnakwangua pension zote😅
Jana nilikusubiri hadi muda wa wanga hukutia timu, kwani na wewe unaogopa kesi ya mauaji nini kwa sababu ya Uzee wangu?? Miaka 78 yangu kwa 24 yako na hili vumbi la Congo nililopaka jana pressure lazima inichukue katikati ya kilele😂🙈🏃🏻