Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20210331-WA0116.jpg
 
Anko frog kama ulikuwa humpendi JPM hayupo sasa amelala zake na hatoamka tena.tumepata Madam Amiri Jeshi mkuu amekuja na Baraza lake bado unaendekeza chuki!![emoji15][emoji15][emoji15]

Napata ukakasi kidogo yawezekana maslahi yako binafsi yaliguswa na JPM lakini ndo hadi na SSH na baraza lake???[emoji3064][emoji3064]

Anko frog punguza chuki basi aise [emoji851]ukiendekeza chuki sana nyongo itakupasukia tumboni huko.angalia hiyo chuki yako usiwaambukize na watoto maana wataishi maisha magumu mnoo [emoji57][emoji57]

JPM nitamuweka kila siku,kila saa moyo wangu utakapoamua.[emoji1635][emoji1635]
Hawa si wazima.
Walianza kuandama hadi maiti..na wanatarajia siku Moja waje washike nchi kwa akili hii!

Yaani mtu anaisimanga maiti!
Kuanzia tundu wao hadi wao nawaona vichaa tu[emoji57]
 
Back
Top Bottom