😎iwe sandakalawe tu atachukuaje mzigo kilain ivi...Hahahahaa chakorii ana kijana wake mwache achukue mzigo
😘😘😘😘usimlete tena huku siku nyingine..kuna vijizi nimeshaanza kuvionaHhahaa nishafuta mkwe itifaki imezingatiwa
Ndiyo mambo ya Zanzibar hayoo? Siye kule bara hatuna mambo hayoAchana na tax.
Subiri ifike usiku wa manane nitatua juu ya Nazi.ukisikia tii!! ujue nimefika ufungue mlango
Myaudi 😅😅Masta gani tenaa😁
MBwai mbwai tuu🔒mwali wetu soteHebu uko na wewe...achana na mwali wangu
Sio kijana tu..mwambie nina vijana kama mvua.tena akae kwa passwordHahahahaa chakorii ana kijana wake mwache achukue mzigo
Daah🙄Myaudi 😅😅
Hahahah wew mgiriki hapana maana meli za wagiriki sio poa kabisaiwe sandakalawe tu atachukuaje mzigo kilain ivi...
Hataki shuga babu😎iwe sandakalawe tu atachukuaje mzigo kilain ivi...
Hahahahahahaha akae kitaalamuSio kijana tu..mwambie nina vijana kama mvua.tena akae kwa password
🧐Zenji sio kuzuri kwa afyaSio kijana tu..mwambie nina vijana kama mvua.tena akae kwa password
Nimekwambia nasubiri nitatua na mida ya wanga huelewi.unapenda mateso mr oceanNdiyo mambo ya Zanzibar hayoo? Siye kule bara hatuna mambo hayo
Nipe direction nimtume mtu akufate 🙈
Wewe dawa yako nikukuitia ankali wangu MshanaMBwai mbwai tuu🔒mwali wetu sote
Tena zinabebaga na watekajiHahahah wew mgiriki hapana maana meli za wagiriki sio poa kabisa
Tena akae kimaabara ohooooHahahahahahaha akae kitaalamu
Mkuu sisi wagumu kwa wanaume wenzetu sio kwa hawa washika dolaHahahah wew mgiriki hapana maana meli za wagiriki sio poa kabisa
Mimi ni mateka wako, silaha nimeweka chini.🙌Nimekwambia nasubiri nitatua na mida ya wanga huelewi.unapenda mateso mr ocean
HahahahhhaaaaTena zinabebaga na watekaji