Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah yaan unamlilia mtu utazani unaomba uzima

Kumbe kutongoza kugumu aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inatakiwa kuwa mvumilivu
 
Kukombolewa nafurahi
Kupita lugha kutamka
Kulionyesha pendo lake
Nimekuwa mtoto wake
.. . . . . . . . . . . . . . . . .
Kombolewa
Nikombolewa na damu ya Yesu
Kombolewa
Mimi mwana wake kweli

[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]
 
"Twaimba utukufu
Una damu yake Yesu
Milele twaisifu
Hiyo damu yake Yesu

Hakuna kabisa
Dawa ya makosa
Ya kutukasa
Ila damu yake Yesu "[emoji4][emoji7][emoji176][emoji171][emoji176][emoji171]
[emoji443][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji444]
 
Back
Top Bottom