Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji176][emoji176][emoji176][emoji176][emoji176][emoji176][emoji176]
Upendo haupo katika maneno
Unaonekana kwa matendo
Hauonekani kwenye raha
Huthibitishwa wakati wa shida
[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]

[emoji445][emoji443][emoji444][emoji445][emoji443][emoji444]
Ambwene Mwasongwe
 
💯💯💯Kuna tatizo natengeneza makusudi hapa ili nigundue wanaonipenda kwa dhati.
 
[emoji817][emoji817][emoji817]Kuna tatizo natengeneza makusudi hapa ili nigundue wanaonipenda kwa dhati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna haja ya kutengeneza tatizo..
Matatizo huja yenyewe tu!

Ila ni bora yule mtu anayekupa faraja wakati wa shida kuliko yule anayekupa zawadi wakati wa raha[emoji4]

"Akufaaye kwa dhiki huyo ndiye rafiki"
 
Drinking water.......
Screenshot_20210325-160436_WhatsApp.jpg

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom