Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Haziwezi[emoji23]Mwisho zitaoza saaa
Bado hazijaiva.
Haziwezi[emoji23]Mwisho zitaoza saaa
Sio wote jaman me kama Martin Luther King Jr... 😎maringo ndo nini tenaaAlafu hii campun ya jr sio kabsa wana walingo sana[emoji119][emoji119][emoji119]
Kwan anamficha nan sasa kuna mtu haijui iphone 12 humu kwan...Ana simu Kali Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bahati mbaya akicomment inaweka ile signature"sent by using my iphone12".
Msaidie kwanza kutoa hiyo signature.
Ile signature inamkeraKwan anamficha nan sasa kuna mtu haijui iphone 12 humu kwan...
Done nishafuta kitambo sema sio caseOh jamani[emoji26]
Usifute ..ngoja niingie kwa kutumia browser nione.
[emoji26][emoji26]Done nishafuta kitambo sema sio case
[emoji26][emoji26]
Weka tena bhana
mwambie aje pm atakuta maelekezoIle signature inamkera
anaweza akaja pm akalike akasepa😂mwambie aje pm atakuta maelekezo
Siku moja atakuja kucomment hapa nakwambia we subiri [emoji56][emoji56] tena kwa ajili yangu nina imani[emoji120][emoji120]
Nadhani ataona akipita hapa.mwambie aje pm atakuta maelekezo
[emoji851][emoji23][emoji23][emoji23] Ila kweli yule jamaa nae ni mtu na nusu sio kwa msimamo huoanaweza akaja pm akalike akasepa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku moja atakuja kucomment hapa nakwambia we subiri [emoji56][emoji56] tena kwa ajili yangu nina imani[emoji120][emoji120]
Mungu ni mwema....eeh jmn yaan comment ya mtu mmoja nika naomba kazi [emoji542] [emoji851][emoji851]
Ngoja tusubiri tuone[emoji847]Saint Anne ebu ngoja nimfate mimi pm ila kujibiwa nikijibiwa basi nitaishi maisha marefu hapa dunian nipe siku 3 ya kusubiri jib then nitarudi hapa
Ukiona ndan ya hyo siku tatu nikacomment[emoji262] ujua ajajibu
Ukiona nimecomment[emoji257] jua tyr [emoji56]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] Pm yangu ina watu zaidi ya 100 ila sijawahi kumuona mkwepu jmn..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1734185
Nipo hebu njoo mara moja nikupe salamu zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo,
Uko poa?
Au lbda anatumia acount nyingineNgoja tusubiri tuone[emoji847]