Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
NzuriSijambo..
Za siku brother!?!.
Umeadimika
What's your excuse?Leo sikwenda
Nipe stori[emoji4]
Toka waondoe jukwaa pendwa lilee huonekani kabisa
Usipotee sanaNzuri
Majukumu tuu ila nipo
Sina sababu yoyote ya msingi.What's your excuse?
Nitajitahidi Mdogo wanguUsipotee sana
😊Ni yeye
Sometimes inatokea.Sina sababu yoyote ya msingi.
Ni uvivu tu[emoji846]
Nilichelewa kuamka
Yah,,you don't feel like doing anything..Sometimes inatokea.
Kalumbu
Ingukupon'ya mu ngamu ja Jesu
ndaga kalumbu...kyala nnunuIngukupon'ya mu ngamu ja Jesu
Nnunu kangi gwamaka[emoji4]
Huo ugali hata peke yangu sishibi labda kama nimeshtua na wali kwanza. Nyie mnakula wanne kha!
Hapo kulia kwako bageshi aliyeshikilia chuma. Yaonekana pisi kali. Ulipata angalau namba? [emoji16]