sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,646
- 8,736
Eminza!
Eminza!
Maombi pekee ya watoto,wazazi,ndugu wanaouona mchango wako katika maisha yako yanaweza kukisogeza kifo mbele.![]()
Nimeota tena kuna mtu atakufa
Mtu anaweza kudhani ni story ya kutunga la la hasha, sina faida kwenye hilo, hiki ni kitu kinatokea kwa mara ya tatu Leo... Mida ileile Baada ya kuota tena Leo, nimesita mno kuweka hili bandiko lakini kuna sauti inanisisitiza niandike.. Nimeota sijaoteshwa kuwa kuna mtu atakufa..... Lakini kila...www.jamiiforums.com
Nimeota tena kuna mtu atakufa
Nimekumiss.kesho nipigie tafadhali.girlfriend yuko huko🙏Uyole / mama View attachment 1726545
ShemejiMara moja moja siyo mbayaView attachment 1726619
Ana mdomo mzuri.hongera sana
Utakabwa siku moja weww na ugali
HahahahaMalizia tu mdau
Shetani fala sanaa..kanidanganya nimejikuta naondoka saa kumi
hahahhahahahahhahaha karma ww genius..Mlimani na lile jengo ni la PSSSF! Naomba laki yangu!![]()
![]()
hahahhahahahahhahaha karma ww genius..
.laki unapata ngoja mkeka utiki
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app




Karibu supu dogo...



Hivi supu na bia vinapanda kweli?Karibu supu dogo...
Supu ndio tiba ya bia...Hivi supu na bia vinapanda kweli?