[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha nikiwa advance, kuna kipindi niliona mambo magumu afu yanani elemea, yaan nilikua km mwehu fulan hivi, nlivorudi home wote walikua wananshangaa nilikonda na kubaki mifupa tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo
Mida hii ningekuwa chizi naokota makopo.
Kuna kipindi tu nilikuwa Kama chizi siyo chizi..mambo mengi hadi nikawa kama akili inaruka.
Kwanza picha linaanza unavyofungua account yako..sisi ilikuwa SR,nyie mnaita ARIS sijuiYaan inaogopesha mno. Kwa kweli
Unajua siwezi kabisa mie, yaan mie maisha yangu sijui yakoje kwa upande wa vyakula sasa vingi situmii,Muulize Karma atakuambia utamu wa hiyo mboga ya karanga[emoji4]
Mimi advance kuna kipindi nikawaambia home shule imenishinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha nikiwa advance, kuna kipindi niliona mambo magumu afu yanani elemea, yaan nilikua km mwehu fulan hivi, nlivorudi home wote walikua wananshangaa nilikonda na kubaki mifupa tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mie naona rangi ya chama pendwa mweeeh.Rangi ya chama tawala hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii gauni mpya sana,Sasa naona lisije oza..navaa Mara mojamoja.
Nilipewa
Kwa kweliUnajua siwezi kabisa mie, yaan mie maisha yangu sijui yakoje kwa upande wa vyakula sasa vingi situmii,
siwezi kuishi na watu, ndo maan hata kwa ndugu siendi mie, maan ntakuwa nawapa mtihani tyuuh na kuwaharibia budget za maisha yao ya kila siku.
Mbele kwa mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mie naona rangi ya chama pendwa mweeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wew usinambie yaan useme shule imekushinda khaaaah. Kweli ulibanwa haswaah.Mimi advance kuna kipindi nikawaambia home shule imenishinda[emoji23][emoji23][emoji23]
I was too serious [emoji1787]
[emoji4]Crush wangu uyo[emoji171][emoji3590],
Cheusi mangala............
Moto ulikuwa unawaka kichwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wew usinambie yaan useme shule imekushinda khaaaah. Kweli ulibanwa haswaah.
Mimi ni kauzu kuliko mkwepu jr ,kwa hiyo napita kimyakimya!πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo aliwakomesha, hakutoa taarifa.?Kwa kweli
Wewe Kama ndugu yangu Bora usije[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mgeni ashawahi kuja nyumbani,tumepika tumemaliza..tukamkaribisha,aisee anasema yeye hali wali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hapo tumepika wali..njegere.
Tukaanza tafuta mboga ili tupikie ugali[emoji1787]
Vinywaji baridi[emoji1635]View attachment 1724819
Ndiyo maana chura haioti!πππChinese mnatia karanga? Mie mboga yeyote ikitiwa karanga tyuuh bas siri, hata kuiona tyuuh sitaki, mnawezaje nyie, hata home huwa nawashangaa San wenzangu. Lol
Mzee wa [emoji196] mie sitaki uchokozi wako, si unipe ile BMW uone km haitaota, siku 2 tyuuh furushi hilo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo maana chura haioti![emoji1][emoji1][emoji1]
π€£π€£π€£Mzee wa [emoji196] mie sitaki uchokozi wako, si unipe ile BMW uone km haitaota, siku 2 tyuuh furushi hilo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sukumawiki ni chainizi [emoji16][emoji16]Huku zinaitwa sukuma wiki huko je?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]