Selfika na JF: Snap it. Show it

Sisi wetu akikunasa nyavuni ndo unamjua alivyo

Anasema Kama umeshindwa kufaulu somo lake semester nzima miezi minne,haamini Kama unaweza kulifaulu kwa wiki moja ya supplementary..

Yaani haoni shida darasa zima kurudi September [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mkirudi kuchomoka ni Kama Mungu tu..aki ya nani sitamani tena shule[emoji119]
 
"Mimi nalisema nawe wakati wa kufanikiwa kwako; lakini ulisema, Sitaki kusikia. Hii ndiyo iliyokuwa desturi yako tangu ujana wako, kutokuitii sauti yangu"
#Yeremia 22:21

Baba turehemu
Mungu anirehemu
Kuna muda namzingua mno..natoka nje ya kanuni [emoji120]
He's the Lord of Mercy
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aninunulie mara ngapi sasa? RR ile? Hebu usijitoe ufahamu, au wivu lol. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mitano tena
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…