Nimekumbuka advance Sir wa math, alikua ana kigugumizi sasa hasira na gubu ndo kwake, akiwa class akiongea au kuelezea kitu, sasa wanafunzi wakicheka atasema hivyo tutaktan kwenye test, chini ya 70 nafia mtu,Mkimuudhi Sana anasonya
Basi akianza kukemea na kile kigugumizi..anasema tutakutana kwenye paper[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
OkayAina ya watoto tulionao walifanya tufunge hapo.
Wacha tujiadhibu...
Btw Mimi huwa si mtazamaji TV..natazama nikijisikia
Vile nikimuangalia crush 😂❤️
[emoji848][emoji848] [emoji2369][emoji2369]12:00
Siku yangu inaenda kwa kucheka leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna zaidi yako mama, miss yuh lil kitten[emoji76]
"Mimi nalisema nawe wakati wa kufanikiwa kwako; lakini ulisema, Sitaki kusikia. Hii ndiyo iliyokuwa desturi yako tangu ujana wako, kutokuitii sauti yangu"Morning for purple [emoji171]View attachment 1723469
Fanya mpango wa kapicha basi na ww khaaaa...[emoji848][emoji848] [emoji2369][emoji2369]
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Wewe ukiwa chibonge
Naona nanilii zimeee[emoji1783] ndani ya tshirt.
Afu ni Kate tamaa hapana kwa kweli ❤️💜Morning for purple [emoji171]View attachment 1723469
Zangu ziko huko Juu kibao wewe zako ziko wapi etiFanya mpango wa kapicha basi na ww khaaaa...
🤣 Sio mimi ni Anni huyo kaedit post yangu.[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Hebu rudia kuandika ulichoandika kabla
🤣🤣🤣Vile nikimuangalia crush 😂❤️
Dah umemamua kundiss kabisa mama 😻 ...zawadi yako hio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushavuta asubuhi asubuhi
Hivi nisipokusingizia wewe,nikamsingizie nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo wangu mbona unanisingizia mambo mazito hivyo
Ile app ya kueka maneno kwenye picha inaitwaje 🤣
Mama mchungaji,nime-zoom picha nimegundua upo njema sana idara flani hivi,na rangi ya chocolate,dah!?Morning for purple [emoji171]View attachment 1723469