geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,235
wakati niko mdogo nilikua na kesi kibao za kupiga watu kisa kubishana au kupingwa.....[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nikichukia sauti haitoki kuna kama kuna kitu kimenikabaHahahaha
Mimi mtu mwenye kigugumizi namuogopa Sana..siwezi bishana naye
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app