dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,829
- 20,335
Hahaahahahahahaahh bwashemejiiii ngoja nimtafute camerawomanMkuu tupia selfie ya moto hapa maadui watawanyike!
mmmh ifikie hatua tuangalie vigezo vya kuvunja unduguNazidi konda bby[emoji18]
Ukija nitanenepa[emoji4]View attachment 1723075
hahahahaha mimi time ya kubishana nakaa kimya sometimes ubishi wa simba na yanga natamani nichangie nakaa kimya....ila kwenye kuchart meseji buku week haifikiSasa nakuelewa Kalumbu.
Nilikuwa na mwalimu wangu fulani alikuwa na kigugumizi aiseee...alikuwa na hasira Sana,yaani yule Kuna muda nahisi alikuwa anatamani atandike fimbo [emoji1787]sema ndio vile chuo hakuna fimbo
.akiingia darasa lote kimya,mtu akizingua ni kufukuza nje na matusi aisee..yule jamaa[emoji119]
Shepu la Taifa😌Nazidi konda bby[emoji18]
Ukija nitanenepa[emoji4]View attachment 1723075
Vile vitu avipendavyo bwashemejiShepu ya Taifa!
Ndiyo ndiyo mheshimiwa Mswati!😄😄😄Vile vitu avipendavyo bwashemeji
Tena naona unanibania ya tu hapa[emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]
AmenPoleee
Mungu atakufanyia wepesi tu
Mweee Kalumbummmh ifikie hatua tuangalie vigezo vya kuvunja undugu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Yaani mimi ni wa kupewa wa kuchokwa?😳😳😳[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nikupe mdogo wangu Karma???
A wapi...sijamchoka bado[emoji23]
Hahahahahahahahaha mimi time ya kubishana nakaa kimya sometimes ubishi wa simba na yanga natamani nichangie nakaa kimya....ila kwenye kuchart meseji buku week haifiki
hapa nna miez miwil kasoro sijaweka dk[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ngoja niweke notifications bwashemeji ....huwez juaNdiyo ndiyo mheshimiwa Mswati![emoji1][emoji1][emoji1]
nimetema na chini hayajafikaMweee Kalumbu
Tema mate chini
La taifa gani[emoji23][emoji23][emoji23]Shepu la Taifa[emoji18]
Mweee[emoji134]
NdiyooooYaani mimi ni wa kupewa wa kuchokwa?[emoji15][emoji15][emoji15]
Kiuno nyigu halafu mipaja hiyoooo!😂😂😂Hiyo ndiyo maana ya shepu la Taifa!😄La taifa gani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mifupa siku hizi imekuwa la taifa?