Selfika na JF: Snap it. Show it

Haahaha
Umenifungua akili
Tunafanye sasa mama
angalau aandike kitu jmn..

Ujue toka najiunga jf nimekuwa makin sana kwa member wote wa humu, wapo tulio tanian matani ya hapa na pale,

Lakn toka nimjue hyo mjamaa basi ata ukiniamsha usingizini uniulize kwa wanaume wa jf wote ukipewa nafs ya kuchagua unae mpenda utamchagua nn aiseee

Hyo jamaa ata angewekwa namba ya mwisho ningeakikisha namfikia wallah tena..
 
Woyoooooooooo
My brother mkwepuuuuuuuuuu
Usijali,atakujibu
Bro wangu sana huyu


Zari la mentali hili


mkwepu jr

Leo nyota imekuwakia mwanangu
 
Ukifanikiwa ilo wallah njoo pm unipe no nikupe ata ya soda upote koo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…