Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ata pm hajibu [emoji134] akikuurumia sana anakujibu baad ya mwezi[emoji41][emoji41]

Nishauri nimkatie tamaa nitafute mwingine japo kwa kujilazimisha
Tobaa[emoji119]
Sasa umechelewa tu,juzi kulikuwa na uzi watu wanataja macrush wao..huko Sasa ungemtaja.

Au jitahidi tu kumtag hapahapa,unaandika kitu ambacho akikisoma kitamfanya alazimike kukujibu.
 
Basi me nikiskia sauti nzuri atakama sio maneno ya kawaida tu nahisi utamu wake.
Kumbe!
Mimi hata mtu angekuwa na sauti kama gari bovu,ili mradi anachokiongea ninanigusa basi mbona naonaga sauti poa tu!!na natamani kumsikiliza Muda wote.


Basi wewe ukija sikia sauti nzuri ya kipole,si utawehuka kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwiiii, nitaabika mimi na uqueen wangu wote huu umtag mtu alafu asikuji kitu inauma mpka kwenye uti wa mgongo...nitakufa jmn kuna watu zaidi ya 60 wako pm hawajajibiwaga since day one najiunga jf

Alaf mtu mmoja tu unajitoa ufahamu unamtag jibu linakuja empty, una mp jibu linakuja olaaa[emoji14]..

Nibora ata pm pamejificha imagen umtag mtu hapa kwa umati wa tu alafu asiquote ooooh! no...aibu ya hapo aiseeee [emoji85][emoji85]
 
Tobaa[emoji119]
Sasa umechelewa tu,juzi kulikuwa na uzi watu wanataja macrush wao..huko Sasa ungemtaja.

Au jitahidi tu kumtag hapahapa,unaandika kitu ambacho akikisoma kitamfanya alazimike kukujibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema kweli..atajibu kweli[emoji848][emoji848]

Nitaabika mimi jmn mtoto wa watu yule jamaa me najua hawezi uandika chochote nitakuwa nimejinunulia aibu ya mwaka..

Sana sana atalike tu na kwenda zake..
 
A wapi usiogope
Asipokujibu tunakusaidia kumwita
 
Kwa upande wangu sauti nzuri ni mchawi wangu mzuri sana imagine unaambiwa maneno matamu kwa sauti tamu, unakemewa kwa sauti tamu so sweetie.

Sauti mbaya /gari bovu🤣🤣🤣🤣 ngoja kisirani kipande,alafu pia sidhani kama wenye sauti tamu wanavisirani sana.
 
Ni nani kwanza?
Ninong'oneze nipime uzito na nikupe mbinu ya kutumia
 
Sasa crush mbona mimi nina sauti ya gari mbovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Ila Mimi sauti huwa siipi kipaumbele
 
Hapana ndg geraldincredible hajui kutag kuna post nishaona anaweweseka sana[emoji28], hata wewe hapo kuna kipindi ulikua hujui pia.
Oooh jmn sinaga hayo ya kukagua ndo maan ata nikiandika mara nying nakuwa nachapia maan uwa sisomi nacho kiandika ila macho yangu ya yanakuwaga kwa keyboard tu

Ndo maan ata nikitag mtu uwa sirudii kukagua matokeo yake inatoka nyeusi ila ninajua kumtag mtu
 
Crush usijali hua naongea kwa upole especially kwenye scene za kujenga pendo i hope ukiniskia tu automatically yakwako utaibadilisha na kuwa tamu na always itakua ivo[emoji171]
Yangu crush haijawahi badilika
Inanguruma kama gari bovu inavyopanda mlimani

Halafu si unajua sauti za kilokole sometimes zinakuwa kama za kiwendawazimuwendawazimu fulani[emoji18]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…