Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wanamahaba na upenzi/chuki/nyongo nyingi sometimes wanaonyesha hisia zao kwenye kila kitu,

Mistari uliyoweka sio fake lakini mahaba/hasira zake zinamjibia.

Morning.
........“Nyinyi hamjui kitu! Je, hamwoni kwamba ni afadhali kwenu mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa zima liangamizwe?”(Yohana 11:45-57)
 
........“Nyinyi hamjui kitu! Je, hamwoni kwamba ni afadhali kwenu mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa zima liangamizwe?”(Yohana 11:45-57)
Ukisoma hizo verses na chapter nzima,utagundua Mtu anayeongelewa hapa kwamba afadhali afe ili taifa lisiangamizwe ni Yesu.
Sasa nyie mmehusianisha vipi na Mheshimiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…