Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi nasifia sana jamani. Rafiki zangu washaniambiaga mi sio kipimo kizuri cha kuongelea uzuri. Wanasema mi nasifia kila mtu
Hahahaha mimi sisifiagi kila mtu aise maana siwezi kuwa mnafiki yaani nikikuambia wewe ni mzuri ujue nimekuona mzuri kweli yaani hiyo compliment inakuwa imetoka moyoni hata Saint anne anajua hili
 
Siku hizi wanasoma sana watu wa mikoani na wengi wametoka kidato cha sita..tofauti na zaman zilikua zinasoma pisi zinazotokea maofisini zenye diploma zao zinakuja kusaka degree,,basi palikua na balaa pale,toto linashushwa kwenye geti ndogo pale na ndinga kalii...mguu kashausugua mwenge huko unang'aa kweli kweli halafu kanyuka umin wa suti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nimetoka kumwambia mtu hivyo hivyo hapo juu..
viwango vinazidi pungua
Siku hizi wana vaa madela tu kama wazazi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maombi yana nguvu hasa ukiyafanyia kolabo na juju
 
Mbona magazeti tena!!
Mie siku zote naamini kimya ni jibu sahihi
 
Haya ndio mambo Sasa [emoji39][emoji39][emoji39][emoji1786]
Mambo yangu chibonge Mimi..
Sio wengine mnapepeta pepeta tu midomo humu badala mlete hata vyakula kama hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwaherini ..
Humu kimbunga kinaweza kurudi muda wowote.
Brother mshana usipulize dawa zako tafadhali....
Naenda kushika wingu huko....ukipuliza tutachanganya mambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…