B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,413
Crush ungekuepo ile tag ya upako ungeiyona kitambo.Nipo muda wote
Nazunguka majukwaani huko
Nikawaza sijui nani amekuficha crush wangu jamani.
Salaute kwa huyo mama.
Nipo kweliCrush ungekuepo ile tag ya upako ungeiyona kitambo.
Happy women's day najua wewe ni mwanamke wa shoka.
Kumbe wewe ndiye Depal,
Amen[emoji91]Kina mama wa Gospel tunawatakia kheri kwenye siku yenu hii[emoji120][emoji120]View attachment 1720551
Kukuwish tu kumenipa furaha 💜,Nipo kweli
Ni vile tu jf App inazingua Sana.Haileti notifications kwa wakati na mara nyingine haziji kabisa au zinakuja chache.
Nilikuwa nasubiri wish yako[emoji7]
Japo tayari ni Tar nyingine ila naipokea kwa mikono miwili.
Thanks,I'm so proud to be a woman.
#God's kingdom woman.
Hujambo Mwana Ileje mwemaAmen[emoji91]
Browser siwezi kabisa kuitumiaKukuwish tu kumenipa furaha [emoji171],
Hizi tarehe tumeletewa tu kama nguo zilivyo.
Tumia freebasic app, utapata user interface ya browser ambayo ni nzuri kuliko app yenyewe.
Sijambo moudHujambo Mwana Ileje mwema
Ewaaaaa! Haya ndio mambo sasa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Jitahidi ni nzuri sana,Browser siwezi kabisa kuitumia
Sijajua nije Dodoma, Mbeya au Kyela.Sijambo moud
Lini utakuja nikupeleke ileje?
Unaishia tu kumsifu aliyekuwa mbunge wetu Kibona.
Ulale salama pia crush wangu [emoji7]Jitahidi ni nzuri sana,
Ulale unono kada kazuri, nimekueka kumoyo[emoji171][emoji3590].
Alikuwa mjomba wangu ila si wa karibu Sana.Sijajua nije Dodoma, Mbeya au Kyela.
Steven Kibona RIP, alikuwa mchapakazi hodari sana.
Mwenyezi Mungu amuweke mahali panapistahiki[emoji120][emoji120][emoji120]
Selfika usiku wa wamanane....View attachment 1720565
Na hata sijui hii id inawachanganya kitu gani! Wakati hili ni jina la kike!Karma ndiye mdada pekee JF ambae watu hufikiri kuwa ni mkaka![emoji847][emoji847][emoji847]
Hahaha eti anataka nimpe dada zangu! Atawezana nao?hahahahah kuna sehemu jamaaa anamwambia karma
'brother nileteee dada ako nimgonge'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Me nikajua mumelala bhna[emoji3590]