Selfika na JF: Snap it. Show it

umeeleweka bora umerud huku kwa karma mkuu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Brazil hali ni tete
Brazil yarekodi vifo vya Watu 1641 vilivyotokana na COVID 19 ndani ya masaa 24.
Viongozi wa majimbo wa taifa hilo lenye watu wengi kusini mwa Amerika, wamesema watakutana ili waunganishe nguvu wanunue chanjo baada ya serikali kuu kuonyesha kusuasua.

Mwenyezi Mungu inusuru Dunia na Maradhi haya mabaya na mengineyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…