Nenda kcmc hopsital pale pia inategemea na muda gani, kwa maana ya ukungu unatanda kimtindo muda na muda, wakati mzuri hutakuta ukungu ni mida ya jioni jioni hivi utapata view nzuri.Hivi nikipitaga Moshi nakuwa natizamia wapi sijui, sijawahi kuuona Mt. Kili kwa kutokea Moshi. Nilishawahi kuuona kwa Arusha - Njiro (kilele tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli niljikuta aibu naona mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
Kumbe umejifanya hujaziona!!
Ngoja ntaziongeza zaidi..ntaongeza makorokocho kibao ili mtufuatilie movie yetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yule hahusiki..Kuna kengine yaani kamenitia hasara Sana[emoji134]..hata spika zilikufa baadaye zikafufuka[emoji1787]
Camera imejaa ukungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha wee, ila sijaelewa.She's still lovin me through my pains
I ain't gonna leave my lady
halafu zoe nilikua namchukulia kama sista duu fulani hivi na minato ya mwendokasi....huyu karma namuona kama mtu social,peace hana noma na mtu
aisee kumbe ni mtu mmoja[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji4]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Halafu Gerald unajua hukunijibu hili swali langu eh [emoji3][emoji3] [emoji16][emoji16][emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
Aiseee Minato gani tena hiyo mkuu
Ukweli ni huo, kama huamini jaribuWacha wee [emoji23][emoji23]
kila mtu na vile anavyomchukulia mtu[emoji3][emoji3][emoji3]....mimi kuna id humu nazichukulia tofauti kabisa kuna watu the way wanavyoandika humu jinsi wanavyo react naona kabsa hawa mimi siwezani nao..Halafu Gerald unajua hukunijibu hili swali langu eh [emoji3][emoji3] [emoji16][emoji16]
nimekujibu....i wish nijue kwann umejiita Karma ili jina nalo limekaa kikauzu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu Gerald unajua hukunijibu hili swali langu eh [emoji3][emoji3] [emoji16][emoji16]
Hapana bhanaaah lol. [emoji3][emoji3]Ukweli ni huo, kama huamini jaribu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli niljikuta aibu naona mie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti ilikufa baadaye ikafufuka
Unacheka huku mwenzio ndio ilikuwa napotea mtandaoni mazima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah wee lol
Kuna dogo mmoja alimuona mama yake akiosha viazi akaona isiwe tabu nae ajikeep busy kidogo akachukua simu akatafuta maji yalipo akaanza kuosha nayeye😀 watoto wana mambo!Unacheka huku mwenzio ndio ilikuwa napotea mtandaoni mazima[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kila mtu na vile anavyomchukulia mtu[emoji3][emoji3][emoji3]....mimi kuna id humu nazichukulia tofauti kabisa kuna watu the way wanavyoandika humu jinsi wanavyo react naona kabsa hawa mimi siwezani nao..
...
same to you ulivyokua zoe nilikua nakuona kama sistaduu fulani hivi ambae hata salamu anachagua apokee ipi....hivyo ndivyo nililivyokua nakuchukulia inawezekana nilikua wrong or whatever...
ila id jina la Karma niliikubali kwanza sikudhani ww ndio zoe....huoni tulikua tuna quotetiana tuu humu full milikes karma namchukulia mtu poa asiye na tatzo na mtu peace sana tofauti na nilivyokua namchukulia zoe
.
.em kapicha kamoja kwanza mkuu??
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nimekujibu....i wish nijue kwann umejiita Karma ili jina nalo limekaa kikauzu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja Jack aje tuendeleze movie yetu .. nimegundua convo za namna hii huwa zinavutia watu kusoma[emoji1787]
Kweli ilikufa speaker..napiga mziki sauti haitoki,voice note WhatsApp ikaacha kurecord...nikasema tayari[emoji23]
Nikaianika wee kesho Yake Mara naona ikafufuka
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Kuna dogo mmoja alimuona mama yake akiosha viazi akaona isiwe tabu nae ajikeep busy kidogo akachukua simu akatafuta maji yalipo akaanza kuosha nayeye[emoji3] watoto wana mambo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja Jack aje tuendeleze movie yetu .. nimegundua convo za namna hii huwa zinavutia watu kusoma[emoji1787]
Kweli ilikufa speaker..napiga mziki sauti haitoki,voice note WhatsApp ikaacha kurecord...nikasema tayari[emoji23]
Nikaianika wee kesho Yake Mara naona ikafufuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani poleeeh cc,Unacheka huku mwenzio ndio ilikuwa napotea mtandaoni mazima[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] lolKuna dogo mmoja alimuona mama yake akiosha viazi akaona isiwe tabu nae ajikeep busy kidogo akachukua simu akatafuta maji yalipo akaanza kuosha nayeye[emoji3] watoto wana mambo!