Selfika na JF: Snap it. Show it

Basi tuko tofauti.
Mimi unaweza uwe na namba yangu na usijue sauti yangu maana huwa sipigi wala kupokea😂😂😂
Hadi nimpigie mtu aisee,niwe nimemkubali sana na kumzoea mno.

Simu yangu ishaacha kupigwa maana mara nyingi aliyekuwa ananipiga ni mama tu ambaye kwa sasa nipo naye karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…