Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata mimi huwa sipendelei sana meseji za kawaida na naweza nikakaa hata mwezi sijajiunga kifurushi cha dakika au meseji za kawaida labda niwe nataka kumpigia mtu

Ila WhatsApp daah yaani bora nikose vyote kwenye simu yangu ila siyo WA aiseee
 
Kumbe ndiyo maana sms zangu hazipati majibu
 
Nimewiwa kushare nanyi hii kitu...tafadhali isome si lazima uchangie hoja lakini JITAHIDI UISOME

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi huwa sipendelei sana meseji za kawaida na naweza nikakaa hata mwezi sijajiunga kifurushi cha dakika au meseji za kawaida labda niwe nataka kumpigia mtu

Ila WhatsApp daah yaani bora nikose vyote kwenye simu yangu ila siyo WA aiseee
yaan wee n tsup tyuuh. Hongera bas mie ilisha nishinda. Wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…