Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
HS tangu nimejiunga 2018 ndio namuona leo amebadili avatar[emoji119]kama ni hivyo nami nipo kwenye ukongwe aisee maana kwangu ni mwaka wa saba sasa sijawahi kubadilisha
Sindio ukongwe vitu kama avatar havikusumbui kichwa.kama ni hivyo nami nipo kwenye ukongwe aisee maana kwangu ni mwaka wa saba sasa sijawahi kubadilisha
Kwahiyo sisi wa kubadili mara kwa mara bado hatujaiva?[emoji1787]Ooh basi naongelea avatar
Bado ni wadogo,Kwahiyo sisi wa kubadili mara kwa mara bado hatujaiva?[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sananimechange hali ya hewa naona ka nna kahoma.....nimewai doz
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado ni wadogo,
Mnafurahia ujana.
Kizee teh teh 😂Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni mzee lakini siachi kubadilisha kila nikijisikia
Sent using Jamii Forums mobile app
HS tangu nimejiunga 2018 ndio namuona leo amebadili avatar[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] aiseee
Doh enzi hizo unaitumia mimi nadhani nilikuwa busy nasongoka huko na kuchapana fimbo na walimu.Hii nayo nishawahi kuitumia na ipo na nyingine. Ila ile ya dreadlocks ndiyo mama lao, lazima irudi
Tobaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kizee teh teh [emoji23]
Sifa ya pili mkongwe anatumia emoji 1 zikizidi sana 3,hasa kwenye kuonyesha kucheka tu,
Ukiona unatumi 4 na kuendelea angalia umri wako jibu unalo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilikuwa nawaza tu[emoji3][emoji3][emoji3] aiseee
Hakika hii amedumu nayo Sanaa!Doh enzi hizo unaitumia mimi nadhani nilikuwa busy nasongoka huko na kuchapana fimbo na walimu.
Ila karoho kameniuma umeitoa hii[emoji21]View attachment 1707739
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ndio maana nikakuambia wewe Ni binti usie mkubwa Sana unabisha, juzi juzi tu kumbe uoikuwa shuleni
Ina maana ulikua darasa la 7 B😂Doh enzi hizo unaitumia mimi nadhani nilikuwa busy nasongoka huko na kuchapana fimbo na walimu.
Ila karoho kameniuma umeitoa hii[emoji21]View attachment 1707739
Sent using Jamii Forums mobile app
Doh enzi hizo unaitumia mimi nadhani nilikuwa busy nasongoka huko na kuchapana fimbo na walimu.
Ila karoho kameniuma umeitoa hii[emoji21]View attachment 1707739
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona hauhitaji mazoezi huja automatic tu umri ukifika.Tobaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Wazee tunapenda kucheka jamani.
Ila nipo kwenye mazoezi ya kuacha kutumia emoj[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
SorryHahahaa hiyo mbona lazima irudishwe; huyo ndiye HS sasa, hawa wengime wasaidizi tu. Nampumzisha kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa hiyo mbona lazima irudishwe; huyo ndiye HS sasa, hawa wengime wasaidizi tu. Nampumzisha kidogo