geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,235
ahahahaha niliwaza ssnaDah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134]
Kwahiyo kalumbu muda wote hukujua Kama ni Heaven on Earth?
sijawai tangu nizaliwe....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hujawahi kuona kapicha kangu?
Kalumbu bwana[emoji23]ahahahaha niliwaza ssna
nimeenda google nikaandika safari ya kupanda mlima kilimanjaro wakaleta link ya jamii forum ndio nikamsoma HOE
nilijua labda katyping error alitaka kusema HOHE HAHE
Oh nilijua bado upo DSM.ndio ndio kuna kaz napga aisee....home kunyafu mnoo nakuja kukusalimia
si upo uyole
Mkongwe Sana hapa jf na una maelfu ya comments lakini una mada 2 tu ulizo anzisha!
ahahahaha niliwaza ssna
nimeenda google nikaandika safari ya kupanda mlima kilimanjaro wakaleta link ya jamii forum ndio nikamsoma HOE
nilijua labda katyping error alitaka kusema HOHE HAHE
sijawai tangu nizaliwe....
tuma kalumbu ghwangu
MmmhNimeiona na nikasepa nayo😅😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado unazivaa mpaka sasa? Honestly sizipendi [emoji38] yan mtu akivaa kama namfahamu nimemzoea uwa namwambia kabisa suruali yako ya leo mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahBado watu wanazo, wababa wababa wa 35+ me siyapendi jamani
Mtepeto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ukute juu linambana afu chini bwanga [emoji3] ah sinyamazi kabisa
Plz naomba hiyo picha km uli save lol.Halafu kuna KIMA inatangaza Jf hakuna pisiiii Kali huyu kiumbe apimwe mkojo
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Tuwekeeeh basNiwawekee?
Sikuisevu mremboPlz naomba hiyo picha km uli save lol.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Wapi hapa?Ndani KitaaView attachment 1706463
Mitaa ya Dawasco hukuWapi hapa?