Ila umeyataka brothermen, mpaka mama yako ametukanwa hilo ni kosa lako, unajishebedua kitu gani humu JF wakati watu humu ndani kila kitu ni fake kujisifiasifia kama wa kike unaboa sana, umefanya mpaka nimefuatilia kisa hichi nikagundua kosa lipo kwako, kuna watu na wadhifa zao lakini wametulia tuli sasa wewe ndugu yangu mpaka unaweka ligi na wadada how comes chalii,Ahsante, Inakuaje unanitukania Mama yangu kisa picha niliyoweka kuna uhusiano gani wa hiyo picha na mama yangu?? Why usini attack mimi kama mimi...
Wakati mwingine unapotaka kuchangia wazo lako epuka sana kuhusisha wazazi, ningekuona una hekima na busara kama usingetanguliza hilo tusi hapo juu...
Pili, hiyo picha sio ya Mtu wangu nilitaka kupima mentality zenu humu ndani na nimewapatia vizuri tu najua mnatamani sana kumfahamu, ila kwa kukusaidia jua ni mzuri wa wastani na anajitambua vyema tofouti na nyie humu ndani...
Nia na madhumuni yako ni uzi ufutwe au?Hahah nimemjibu mwenzenu huko juu najua mnatamani kunifahamu na pia kufahamu ninapokojolea ila ndio hivyo tena haiwezi tokea...
Niwe Mkweli tu, yule sio mtu wangu ni picha nilichukua mtandaoni huko na nilipost kimakusudi nisike mtakuja na hoja gani na ninmegundua kitu kwenu, nitabaki nacho moyoni siwezi weka hapa kuleta mgongano kwenye nyuzi za watu...
Kuhusu Itel, ni mmoja wapo ya simu zangu ndogo ninazotumia kwa sababu inakaa na charge muda mrefu, na kuhusu smartphone natumia simu yenye bei tu sina haja ya ku prove hilo kwa sababu wengi wenu najua mnatumia tecno tu ndio maana picha zenu haziko clear kiasi hicho...
Na kingine, kuhusu kazi wala sina haja ya kujisifia sehemu ninazoingia hapa Nchini itachukua muda pengine koo/familia yenu kuja kuingia, na nimegundua humu wadada wengi hamna kazi zinazoeleweka ndio maana mko online 24/7 mjitahidi kufanya kazi pengine mtaepuka hii psychology ya kushinda mtandaoni masaa yote hayo...
Kuhusu mama watoto wangu sijui hata kama umemsogelea kielimu, kiuchumi, kifikra n.k... Jua tu yuko X100 ahead of you...
NB: Ukitaka picha zaidi za huyo mdada naweza kukupa jina ukaenda kumtazama huko mtandaoni..
Depal hebu tumuaibishe shetani... If you don't mind tuachane na haya malumbano tafadhaliJamani me huyu nishamsoma muda tu Jana baada ya kukwambia amnunulie bi Dada REMOVER nikabadilishiwa mada juu kwa juu ' mtoto wa singida aishiwi utamu na vbla bla ikabidi nilike tu then nikatulia.
My dia ili sio lengo LA Uzi wa Mshana Jr emu achana nae
So funny wallah 😂😂😂 hivi lile neno CASE CLOSED hujalielewa au ubishi?!!Hahah nimemjibu mwenzenu huko juu najua mnatamani kunifahamu na pia kufahamu ninapokojolea ila ndio hivyo tena haiwezi tokea...
Niwe Mkweli tu, yule sio mtu wangu ni picha nilichukua mtandaoni huko na nilipost kimakusudi nisike mtakuja na hoja gani na ninmegundua kitu kwenu, nitabaki nacho moyoni siwezi weka hapa kuleta mgongano kwenye nyuzi za watu...
Kuhusu Itel, ni mmoja wapo ya simu zangu ndogo ninazotumia kwa sababu inakaa na charge muda mrefu, na kuhusu smartphone natumia simu yenye bei tu sina haja ya ku prove hilo kwa sababu wengi wenu najua mnatumia tecno tu ndio maana picha zenu haziko clear kiasi hicho...
Na kingine, kuhusu kazi wala sina haja ya kujisifia sehemu ninazoingia hapa Nchini itachukua muda pengine koo/familia yenu kuja kuingia, na nimegundua humu wadada wengi hamna kazi zinazoeleweka ndio maana mko online 24/7 mjitahidi kufanya kazi pengine mtaepuka hii psychology ya kushinda mtandaoni masaa yote hayo...
Kuhusu mama watoto wangu sijui hata kama umemsogelea kielimu, kiuchumi, kifikra n.k... Jua tu yuko X100 ahead of you...
NB: Ukitaka picha zaidi za huyo mdada naweza kukupa jina ukaenda kumtazama huko mtandaoni..
Mnzava habariTall[emoji23][emoji23]View attachment 1221464
Cardiovascular fanya kama hili limeisha maisha yasonge tafadhaliNaona unajitutumua kwelikweli kwa movenment uliyoifanya Rafiki yangu, wewe jua nilikugundua muda tu, nikaona nikuweke karibu zaidi ili baadae nikukamate vizuri.
They say " Keep your friends close and your enemies closer" Ndio nilichofanya na nimefanikiwa kuwapoteza 100%.
Naona nilivyokuwa nakuchangamkia ukaona ndio umenikamata hasa mimi Cardiovascular hata ningekufuata PM mimi sio mjinga kiasi hicho nikurushie picha ya mtu wangu, na ile picha niliweka kimakusudi nione mnavyofunguka na mmefunguka hasa ambacho ndio kitu nilichokuwa nataka.
Just a reminder picha niliyoweka haina uhusiano wowote na mimi ukitaka jina la huyo mdada niliyoweka nitakupatia ukamchunguze vizuri best..
Wewe huyo
Uzi uendelee sasa[emoji28][emoji28]Jamani me huyu nishamsoma muda tu Jana baada ya kukwambia amnunulie bi Dada REMOVER nikabadilishiwa mada juu kwa juu ' mtoto wa singida aishiwi utamu na vbla bla ikabidi nilike tu then nikatulia.
My dia ili sio lengo LA Uzi wa Mshana Jr emu achana nae
Siyo mtu wako lakini umemsifia kwahiyo kumbe unajua kuwa mwanamke anaweza akawa na kucha ndefu na akawa msafi tu si ndiyo??Ahsante, Inakuaje unanitukania Mama yangu kisa picha niliyoweka kuna uhusiano gani wa hiyo picha na mama yangu?? Why usini attack mimi kama mimi...
Wakati mwingine unapotaka kuchangia wazo lako epuka sana kuhusisha wazazi, ningekuona una hekima na busara kama usingetanguliza hilo tusi hapo juu...
Pili, hiyo picha sio ya Mtu wangu nilitaka kupima mentality zenu humu ndani na nimewapatia vizuri tu najua mnatamani sana kumfahamu, ila kwa kukusaidia jua ni mzuri wa wastani na anajitambua vyema tofouti na nyie humu ndani...
Naona unajitutumua kwelikweli kwa movenment uliyoifanya Rafiki yangu, wewe jua nilikugundua muda tu, nikaona nikuweke karibu zaidi ili baadae nikukamate vizuri.
They say " Keep your friends close and your enemies closer" Ndio nilichofanya na nimefanikiwa kuwapoteza 100%.
Naona nilivyokuwa nakuchangamkia ukaona ndio umenikamata hasa mimi Cardiovascular hata ningekufuata PM mimi sio mjinga kiasi hicho nikurushie picha ya mtu wangu, na ile picha niliweka kimakusudi nione mnavyofunguka na mmefunguka hasa ambacho ndio kitu nilichokuwa nataka.
Just a reminder picha niliyoweka haina uhusiano wowote na mimi ukitaka jina la huyo mdada niliyoweka nitakupatia ukamchunguze vizuri best..
Anyway ngoja nikae kimya.
Anaitwa baharia mchomoa betri wa huku jf.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ila umeyataka brothermen, mpaka mama yako ametukanwa hilo ni kosa lako, unajishebedua kitu gani humu JF wakati watu humu ndani kila kitu ni fake kujisifiasifia kama wa kike unaboa sana, umefanya mpaka nimefuatilia kisa hichi nikagundua kosa lipo kwako, kuna watu na wadhifa zao lakini wametulia tuli sasa wewe ndugu yangu mpaka unaweka ligi na wadada how comes chalii,
Karma hili tumeshasema limeisha kuliendeleza hakutasaidia kitu zaidi ya kuumizanaSiyo mtu wako lakini umemsifia kwahiyo kumbe unajua kuwa mwanamke anaweza akawa na kucha ndefu na akawa msafi tu si ndiyo??
Ndiyo siku nyingine ukome mdomo mtoto wa kiume umbea tuachie sisi watoto wa kike mtaja valishwa vijora bure mjini hapa shauri yenu!!