Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

After work back to 240 G
20210218_210704.jpg
 
Stori zako na commando zimenifirahisha[emoji23][emoji23]
Eti utampiga ngumi lakini utaumia mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi nakua bro alikuwa ananiambia nimpige ngumi,nikawa nampiga halafu naumia mimi mkono..sasa fikiria huyo commando anapasuliwa tofali zito haumii..mim nikimpiga na kagumi kangu si ntavunjika bure Mimi.
 
Back
Top Bottom