moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,152
- 770,268
Unaweza kutumia Barakoa na Sanitizer kikamilifu lakini hutaweza kuepuka kukaribiana na watu...nasisitiza tena, kama tunataka kuendeleza kuselfika, ukitoka home tinga hiyo kitu...! Nawa mikono, tembea na sanitizer(it's just 2000-5000tsh) na usikaribiane na watu.
Otherwise, huenda tukawa Italy ya Africa, God forbid though!View attachment 1705009View attachment 1705013
Nimeingia City centre kila niayemkwepa yeye ndo ananisogelea.
Hili janga linahitaji kauli ya serikali ili kuwa na mshikamano kwenye mapambano








Ewaaa here u are,
.


.