[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha kabisaa, umeona ndinga hilo? Yaan hata uncle mwenyew na msafara wake wakiniona na huu mkoko wanapisha mbali,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hongera sana cocastic umenitetemesha na ilo picha
MmmmmmmmhValentine yangu imekua so suprised, yaan jion ya leo ndo naletewa zawadi uuuuuh,
Babuuuh Mshana Jr plz kesho tukutane mawasiliano tower, nahitaji ulifanyie kila huduma hitaji kwa hii zawadi, nataka ijumaa iwe road kwa matumizi,
Haya wale mliokua mnataka ligi na mie, mjipange huko mliko,
Nasubiri taarifa toka kwenu. Mie niko kamili full package. View attachment 1703370
Ngosha vipi tena? Wivu tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmmmmmh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahahhaha syankisu ngafu....jack ghwa kungu aka nsukuma??
Habari za asubuhi mkuuNgosha vipi tena? Wivu tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poaaaah vipi wee.Habari za asubuhi mkuu
Mie niko poa/salama kabisa mkuuPoaaaah vipi wee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa umeweza kutufokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha kabisaa, umeona ndinga hilo? Yaan hata uncle mwenyew na msafara wake wakiniona na huu mkoko wanapisha mbali,
Haya sasa jipange vizuri huko, mie nakusubiri wee tyuuh.
Chezea watu na pesa zao, huhuhuhuh na simpi lift mtu atawehuka ndani ya chuma changu buree. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi vizuri sanaMie niko poa/salama kabisa mkuu
Tena kuwafokea haswaaah, rollroy mchezoooh, mauzo ya jimbo mbunge na wapigakura wake, ndo bei ya huu mkoko.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa umeweza kutufokea
Aisee me ngoja niendeleze mahaba kwenye chombo changu cha usafiri iyo ata kuota kununua sijawai maana ni maji marefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena kuwafokea haswaaah, rollroy mchezoooh, mauzo ya jimbo mbunge na wapigakura wake, ndo bei ya huu mkoko.
Hebu kwani nifanye usajiri, bima na nn, ili Friday mchuma uwe kwenye lami mbovu za Danganyika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ile niliyomuuziaga marehemu Ginimbi akapata nayo ajali akafaTena kuwafokea haswaaah, rollroy mchezoooh, mauzo ya jimbo mbunge na wapigakura wake, ndo bei ya huu mkoko.
Hebu kwani nifanye usajiri, bima na nn, ili Friday mchuma uwe kwenye lami mbovu za Danganyika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinitishe plz? Thubutuuuh uwe na rollroy mchezo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio IST ulimuuzia ili hg wake ya kuendea sokoni. LolKama ile niliyomuuziaga marehemu Ginimbi akapata nayo ajali akafa
Uote kwa kipi sasa? Haya ni matumizi mabaya ya ndoto. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee me ngoja niendeleze mahaba kwenye chombo changu cha usafiri iyo ata kuota kununua sijawai maana ni maji marefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmh!!umeanza lini kuimba??Mtazamo [emoji7]
Afande sele &prof J
Ni mtazamo zamo Mc usiogope kiburi
Bora ukemee mabaya na usifie mazuri
Ni mtazamo zamo Mc usikwepe rumande
Okoa Sanaa ya bongo ili uchumi upande
[emoji91][emoji91][emoji445][emoji445][emoji444][emoji443]
Carbaaaa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Mmh!!umeanza lini kuimba??
#imissyou[emoji7][emoji7]
RemixMtazamo [emoji7]
Afande sele &prof J
Ni mtazamo zamo Mc usiogope kiburi
Bora ukemee mabaya na usifie mazuri
Ni mtazamo zamo Mc usikwepe rumande
Okoa Sanaa ya bongo ili uchumi upande
[emoji91][emoji91][emoji445][emoji445][emoji444][emoji443]