Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nilicheka mie Jana lakin uongo mbaya niliamua kujizuia tu kwa kiwango cha flyover, nikakumbukaaaa nikasema Aloooo kweli nyani hawajai kuona Ku***le


Funika kombe babe mwanaharamu apite 😂
 
unakosea sana kutojikubali aisee..
Kama wewe ulivyo na vigezo vya uzuri ndivyo na kila mtu alivyo na vyake.
Wewe hujikubali Ila Kuna watu huko ambao unawapagawisha si kidogo ujue yawezekana bila hata wewe kujua
Ofcourse wapo watu wanaonisifia kuwa mimi ni mzuri maana unajua uzuri wa mtu upo machoni pa mtazamaji yawezekana mimi nikijitazama sijioni mzuri ila wapo ambao wakinitazama wananiona mzuri siwalaumu na wakinisifia huwa najibu tu asante ila moyoni najua kabisa siyo kweli

Mfano pia mimi hapa nilipo najiona mnene wa kutisha hadi nafanya jitihada kupungua ila kuna watu wananiambia eti mimi mbona siyo mnene wa kutisha yaani eti unene wangu ni wa kawaida tena ndiyo mwanamke anavyotakiwa kuwa wakati mwenzao natamani kupungua ikiwezekana niwe kama moja kabisa sasa wakiniambia vile huwa naitika tu ila akilini mwangu nawaza kuwa lazima nifanye jitihada nipungue mimi sipendi unene kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…