Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiki kilimo mbona kizuri inatakiwa ufungue moyo sema soko lake limeanguka kipindi hiki cha magu
Hicho kilimo tatzo lake kazi ni nyingi aaah, yaan usipokua makini hutoki na kitu. Mie kupandikiza na kung'olea aaaah nlikua nachukia japo skua nafanya San.
 
Hicho kilimo tatzo lake kazi ni nyingi aaah, yaan usipokua makini hutoki na kitu. Mie kupandikiza na kung'olea aaaah nlikua nachukia japo skua nafanya San.
Hakuna kazi ngumu kama kilimo cha mpunga.
Kazi ni nyingi mno na bado ukikosea kidogo tu umepoteza
 
Hakuna kazi ngumu kama kilimo cha mpunga.
Kazi ni nyingi mno na bado ukikosea kidogo tu umepoteza
Ndo nilichokisema mie kilimo cha mpunga ni kifungo huru tosha yaani, naona home ugumu wake. Aaaah tabu tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…