Selfika na JF: Snap it. Show it

Ohooo maana yake nini?[emoji23][emoji23][emoji23]

Na ile "mola du"inatumika wakati gani?
Tofauti Yake na mhola sana ni nini?
Maana yake kama kiitikio cha salamu na hapo huwa kuna tofauti nyingi za kuitikia kutokana na koo/ukoo wa mtu

Mfano kuna koo/ukoo wa kuitikia eminza,eng'washi,enchama nk[emoji1]

Mhola du inatumika wakati wote ukiimaanisha mzima kabisa

Du maana yake(kabisa)

Mhola sana nayo ni mzima sana
 
Oh
Hapo sawa [emoji4]

Nitaendelea kujifunza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…