Make shua maua na nguo za kuvaa jion havilowani tafwadhaliNdiyo nimeanza safari ya kuogelea kuja huko Zanzibar, huenda nikafika baada ya siku 14πππ
Ankal dadako ana damu kali mno.kaniambukiza mguu,ufupi na weusi πππGuu la ankal
Nguo na maua nimezihifadhi kwenye wallet, utanimbia zinapatikana duka gani twende tukachanje kulipia.Make shua maua na nguo za kuvaa jion havilowani tafwadhali
Niwe mfupi halafu miguu iwe mirefu huoni kama utakuwa ulemavu huoπππππKumbe 36/37 nilivyoona mguu wa bia hivyo nilidhani labda ungekuwa umavaa 39/40.
Tafadhali naomba uitunze Hiyo wallet kuliko roho yako isidumbukie bahariniNguo na maua nimezihifadhi kwenye wallet, utanimbia zinapatikana duka gani twende tukachanje kulipia.
Hivi kumbe kuna uhusiano wa urefu wa mwili na miguu.Niwe mfupi halafu miguu iwe mirefu huoni kama utakuwa ulemavu huoπππππ
Usijali mrembo, nataka utumie hadi nikose nauli ya kurudi ππTafadhali naomba uitunze Hiyo wallet kuliko roho yako isidumbukie baharini
Hebu jihakiki uje uniambie urefu ni ngapi unaoHivi kumbe kuna uhusiano wa urefu wa mwili na miguu.
Mbona Mimi ni vice versa, mguu 43. Ngoja nihakiki kimo changu
Nitakuja huko Zenj na tape measure kabisaHebu jihakiki uje uniambie urefu ni ngapi unao
Sio kukutumia tu..bali nakutoa upepo kabisa..ushindwe kuhemaUsijali mrembo, nataka utumie hadi nikose nauli ya kurudi ππ
ππππimeisha hiyoNitakuja huko Zenj na tape measure kabisa
Yaah..itasaidia sana[emoji16][emoji16][emoji16] itasaidia???
Mungu wangu, tafadhali weweπ π πSio kukutumia tu..bali nakutoa upepo kabisa..ushindwe kuhema
π π Basi tufanye nitakuachia nauli tu.imekaaje hiyoMungu wangu, tafadhali weweπ π π
Usinifanye hela zangu ziishe hadi niingie benki ya watu wa Zanzibar kukopa nauli. Itakuwa aibu ya Karne π
Hapo sawa, kumbe unajua kujali eeh.π π Basi tufanye nitakuachia nauli tu.imekaaje hiyo
Ndio nina huruma mno kwenye baadhi ya mambo Grahams .Hapo sawa, kumbe unajua kujali eeh.
Ngoja nikuwahi kabla Wazanzibari hawajakuteka kabisa. Na nitakurudisha Bara kabisa π
Nyanya chungu,bamia ππ
Na ninavyopenda kudekezwa sasa, ngoja nijiandae kunenepa kwa huduma zakoNdio nina huruma mno kwenye baadhi ya mambo Grahams .
ππππfanya chap bhana uje uniondoe huku maana wanaweza kuniteka ujue