Yani miaka kenda unatafuta mguu wa bia mkuu!!hauko serious π π πNilikuwa nautafuta mguu wa bia, baada ya miaka kenda ndiyo nimeuona kwako. Hongera ππ
Kuna Watu wana rahaSawa mchumba.
Ukifika may haujagusa pombe basi nitakupa zawadi yako.
geraldincredible wewe unaacha lini Kalumbu?[emoji23]
Town yeaaah
Naomba dea jomoneeeh
Kweli Mkuu, naomba ruhusa yako nije Zanzibar niushangae kidogo ππYani miaka kenda unatafuta mguu wa bia mkuu!!hauko serious π π π
Kipendhi plz hiyo raba, naiomba yaan plz fanya hivyo iwe miguuni mwangu wallah[emoji3344]View attachment 1701331
Nitajie size ya Mguu wako nikutumie kwa DHL πKipendhi plz hiyo raba, naiomba yaan plz fanya hivyo iwe miguuni mwangu wallah
39, haya fanya haraka bas nawee.Nitajie size ya Mguu wako nikutumie kwa DHL [emoji87]
Hapana.asante.π₯π₯π₯π₯Kweli Mkuu, naomba ruhusa yako nije Zanzibar niushangae kidogo ππ
Unavaa namba ngapiKipendhi plz hiyo raba, naiomba yaan plz fanya hivyo iwe miguuni mwangu wallah
39 kipendhiiUnavaa namba ngapi
Utanipa code muhimu ili zikufikie39, haya fanya haraka bas nawee.
UsijarUtanipa code muhimu ili zikufikie
Ndiyo nimeanza safari ya kuogelea kuja huko Zanzibar, huenda nikafika baada ya siku 14πππHapana.asante.π₯π₯π₯π₯
Imeisha hiyo πππUsijar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti eeeh? Bas sawaaaah. Kipendhi kumbe una mguu mdogo zaidi yangu.Mimi navaa 36/37 na hiyo ni 36.
Kuna comment nimetoka hapo juu Grahams anataka kukutumia raba kali.
Kipensi flani hivi + t shirt white na [emoji148] mambo yanakuwa mukide
[emoji3344]View attachment 1701331