Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie pia sikuwa nimekula miaka mpaka ladha nilishaisahau. Ukiunga na nyanya yanakuwa matamu???

Ukipika please tupia picha pengine ntajifunza kitu.
Yanakuwa matamu hatari.
Unayakaanga na nyanya,hoho ,yaani km unavyounga nyama tu,waweza weka na Nazi..ila inabidi umenye kwanza na ganda lake ni gumu kidogo.
Jaribu halafu utanipa mrejesho hapa.


Kesho nikipata muda nitaenda kulisaka sokoni.
Kipindi Niko bush nilikuwa nayagonga sana..najichumia tu shambani.
 
kalumbu had had nihakikishe jack kaacha aisee


billdrago kwani kaacha??
Billy aachie wapi? nishamtoa kwenye list ya wenye mpango wa kuacha.
Tulishakubaliana atakunywa kistaarabu..kuacha hawezi yule.

Jack amesema March anaacha.
Mimi nasubiri tu kuona huo muujiza


Na wewe Kalumbu wangu weka basi ahadi ya kuacha.
 
bwana sina ahadi kwa kweli kitakachotokea mbeleni tutajua...sitaki kuji commit kwa kwel
 
kalumbu kapicha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…