Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,341
- 201,599
Cole naomba picha yako tafadhali, usidhani sikuoni unavyopita kimya.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kumaamake... Usiku una vingi vitamu. Wafaidikao wachache
Mimi mwenyewe sipendi picha, japo nilishatuma moja tangu siku ile ila nikaifuta na kwenye gallery nimefuta picha zangu zote maana storage ya simu yangu nayo si rafiki.Nipo naisubiri yako Incase nitaiona lakini wapi naona maneno Tu
Mimi sipendi picha sababu I’m not photogenic I’m otherwise
Mimi mwenyewe sipendi picha, japo nilishatuma moja tangu siku ile ila nikaifuta na kwenye gallery nimefuta picha zangu zote maana storage ya simu yangu nayo si rafiki.
Serious, nina kasamsung ka gb 8.Jamani Jamani si kwa chenga hii ya mwili kama Messi vile umenitoka mzima mzima, storage yako ni ngapi ???
Sawa shukrani sana dada
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]mimi mkubwa
Hizo Budweiser zinauzwa dola ngapi? Wakati nakunywa nilikuwa nazipenda...Hii ya kulalia wandugu. Kaka angu Mshana buku kumi langu kesho lisukumie kwneye namba yangu ileView attachment 1222276
Saint Anne kwisha habari yake kwa siksi paki za ngosha. Mpaka anahama na uzi mazima kabisa. Huyu ngosha ashindwe mwenyewe tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ya Lizarazu au??
Hizo Budweiser zinauzwa dola ngapi? Wakati nakunywa nilikuwa nazipenda...
2500-3500 huku kwetu
Heineken ndio mpango mzima, tena upate ya kopo.
Ya kopo hata sio tamu.. chupa mpango mzima
Ahhh,, tunao umia ni sisi [emoji102]Hii ya kulalia wandugu. Kaka angu Mshana buku kumi langu kesho lisukumie kwneye namba yangu ileView attachment 1222276
Mate dadaHii ya kulalia wandugu. Kaka angu Mshana buku kumi langu kesho lisukumie kwneye namba yangu ileView attachment 1222276
[emoji23][emoji23][emoji23]Pm mtapata picha nusu bado. Fanyeni mpango twende lunch au dinner sehemu. Isiwe gharama tu maana mie kujilipia 20k naweza kufa
Mate dada
Khaaa mpaka sasa haujalalaJikaze dada
Khaaa mpaka sasa haujalala