Na mimi nipo huku huku, sawa Mungu akijalia tutapanga siku tuonane japo siamini kama kweli umemaanisha ulichokisema maana watu wengi humu hawapendi shobo.