Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,046
- 33,723
Tupo tu tunamiss uwepo wakoNafurahi kuwaona pia mkiusongesha uzi
Tupo tu tunamiss uwepo wakoNafurahi kuwaona pia mkiusongesha uzi
Tupo tu tunamiss uwepo wako
Aaah sikuonagi siku hizi...Jamani mbona mimi nipo sana
Aaah sikuonagi siku hizi...
Labda nikufollow kabisa iwe ulipo nipo,[emoji23]
Napenda sana kukuona jukwaani...Mimi lazima niingie humu daily.
Hahahh nilipo upo eeh?
Napenda sana kukuona jukwaani...
Asa huu ugonjwa wangu itabid nikufollow kama baba levo na mondi
Yan ulipo na me nipo
Eniwei me sio chawa[emoji23]
😃😃😃😃nitatengwa tutafute msamiati mwingine...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilitaka nikuulize kama unataka kuwa chawa wangu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nitatengwa tutafute msamiati mwingine...
Ata mwenza rafiki[emoji41] una sound Gud
Em tuchangamshe kwanza💫✨🌠na picNapita kuangalia selfie nakutana na story tu 😬😬
Watu wanaroho ngumu🤓Uzi ndo umegeuka wa kuzama chumvini?
😂😂😂unaanza kuwa chawa hela tutatafuta tuuNa uchawa shurti boss wako awe na mkwanja; na mimi apeche alolo [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi mwenza rafiki imepita.
umevunja kibubu 🤣🤣[emoji2957]View attachment 1689937
mzee wangu kuna mzungu mmoja ni rafk yangu...leo kasema anataka anitoe lunchumevunja kibubu [emoji1787][emoji1787]
mboga saba[emoji2957]View attachment 1689937
Imekuuma kwani umetoa wewe?mzee wangu kuna mzungu mmoja ni rafk yangu...leo kasema anataka anitoe lunch
ndio kama hivyo imetoka 25k imeniuma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]