geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,235
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Niamru chochote nitafanya mfalme wangu
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Niamru chochote nitafanya mfalme wangu
MmmmmmmmhWote tyuuh.
Kashikwa ugoni😂😂😂Ahahaha na nimekuzingua makusudi tu. Kuwa na amani bana brod darling; sisi wahenga tunajua kama hayo yanatendeka tu[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Kadeki bahariNiamru chochote nitafanya mfalme wangu
Teh teh...nimeshaelewa[emoji23][emoji23]Kwa kweli ngoja tu ninyamaze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unakataaje sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kumbe wewe unajua wanao kaa mwanza wote ni kina mwanike[emoji23][emoji23][emoji23]
Kashikwa ugoni[emoji23][emoji23][emoji23]
ushakosa hiyomkuuu...hiz ni changamoto
Anachomfanyiaga mwanetu mambo hadharani 😂😂Tena na wakwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sauti ya mfalme pekee ndo usikilizwa[emoji3]Kadeki bahari
Anachomfanyiaga mwanetu mambo hadharani [emoji23][emoji23]
Teh teh...nimeshaelewa[emoji23][emoji23]
Mimi sio mwanike eti[emoji3]unakataaje sasa
SawaaMimi sio mwanike eti[emoji3]
Namshukuru Mungu, ni mzima wa afya. Sijui weweU mzima Homie...
Za masiku
Me ni mzima...Namshukuru Mungu, ni mzima wa afya. Sijui wewe
Nafurahi kuwaona pia mkiusongesha uziMe ni mzima...
Nafurahi kukuona ndani ya uzi wetu pendwa..