Ebr 10:25
Wala tusiache kukusanyika pamoja,Kama ilivyo desturi ya wengine,bali tuonyane;na kuzidi kufanya hivyo,kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia.
Neno la Mungu linatushauri hiyo
Unakuta mtu ndiyo ni kweli kabisa anaomba sana..na MUNGU amemsikia.
Akasema na mtumishi wake fulani kuhusu kilio na maombi ya huyo mwombaji.
Mtumishi anasimama anaenda kusema madhabani(Mungu amepitisha majibu ya maombi yako kwake)wewe haupo
Na ndiyo maana unakuta sometimes huko makanisani unakuta mtumishi anasema"Kuna mama hivi na hivi na hivi""halafu wewe hujaenda...upo kushandarize kuvyako.
Madhabahu ya Mungu ina nguvu..
Kuhani ana nafasi yake
Kila kitu kina nafasi na faida..na ndiyo maana hata zamani mahekalu yalikuwepo.