B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Hujawai kunywa pombe, hulka ya mtu ni very different sio kwamba ukinywa ndo unakua ivo la hasha,Distinctive unacceptable features
•Ulevi
•Udanganyifu
General unacceptable features
•(siitaji)
Uwe makini shetani alivo M-baya unashanga umeshtuka chai kwenye keyboard 😭
hivyo yan..Hahahahahaha
nakupigia sasa hivi tubongeBeste niaje umepotea lini dar twende kidimbwi
Weee usiniambiehivyo yan..
nimenuna....kwa hili jibuAcha uvivu
Panda juu utaziona
Kuna watu wataenda,Kuna watu wanashindwa kuiona mbingu pia.Enwei,
Kuna mahali niliona andiko kama sio kusikia kwamba watakao ingia mbinguni mungu anawajua toka ata ulimwengu haujaumbwa,
Uoni kwamba mbingu sio ya kila mtu?
"sio kwamba ukinywa pombe ndo unakuwa hivyo la hasha"Hujawai kunywa pombe, hulka ya mtu ni very different sio kwamba ukinywa ndo unakua ivo la hasha,
Tena kuna watu wakinywa sasa ndo wanakuambia ukweli, wakiwa hawajanywa wanafichaficha, pombe ni ka starehe tu kazuri hakana shida
Endelea kununanimenuna....kwa hili jibu
Ukinywa pombe unakua muongo, uongo ni katabia tu ka mtu wala pombe Hai-influence uongo."sio kwamba ukinywa pombe ndo unakuwa hivyo la hasha"
Sijaelewa
Yaani kwamba ukinywa pombe unakuwa hivyo vipi?
Ni starehe
Kila mtu kuna kile kitu anapenda,hiyo iko wazi.
Nawapenda watu wote mbonaLabda kaharufu tu ndo kero kwa wasio wanywaji,
Mtu anayetupia kiasi na kwa ustaarabu utampenda mbona.
Kina waitwa na wateule..Enwei,
Kuna mahali niliona andiko kama sio kusikia kwamba watakao ingia mbinguni mungu anawajua toka ata ulimwengu haujaumbwa,
Uoni kwamba mbingu sio ya kila mtu?
Enhee maneno mazuri vipi kuhusu idadi?Kuna watu wataenda,Kuna watu wanashindwa kuiona mbingu pia.
Wote Tutaenda kwa neema tu..si kwa namna yoyote tuliyofanya
Ni Neno la Mungu lililomjia Yeremia
Yeremia 1:4
Yeremia anasema "Neno la Bwana lilinijia na kusema,Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua,na kabla hujatoka tumboni,nalikutakasa;Nimekuweka kuwa nabii wa mataifa"
•Waraka wa Pili wa Paulo mtume kwa Timotheo 2:19-
"Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama,wenye muhuri hii,
Bwana awajua walio wake.
Na Tena,
Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.
•Ufunuo wa Yohana kwa watu wote
3:5
Yeye ashindaye atavikwa hivyo mavazi meupe,Wala sitalifuta kamwe jina lake katika kitabu Cha uzima,Nami nitakiri jina lake mbele za Baba yangu.
Aliye na sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.
Wapi nimesema hilo?Ukinywa pombe unakua muongo, uongo ni katabia tu ka mtu wala pombe Hai-influence uongo.
Neema huisha mtakatifu..Kuna watu wataenda,Kuna watu wanashindwa kuiona mbingu pia.
Wote Tutaenda kwa neema tu..si kwa namna yoyote tuliyofanya
Ni Neno la Mungu lililomjia Yeremia
Yeremia 1:4
Yeremia anasema "Neno la Bwana lilinijia na kusema,Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua,na kabla hujatoka tumboni,nalikutakasa;Nimekuweka kuwa nabii wa mataifa"
•Waraka wa Pili wa Paulo mtume kwa Timotheo 2:19-
"Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama,wenye muhuri hii,
Bwana awajua walio wake.
Na Tena,
Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.
•Ufunuo wa Yohana kwa watu wote
3:5
Yeye ashindaye atavikwa hivyo mavazi meupe,Wala sitalifuta kamwe jina lake katika kitabu Cha uzima,Nami nitakiri jina lake mbele za Baba yangu.
Aliye na sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.
We Musa asingeenda kwa shetani hata kidogo mungu anakumbuka fadhila,Kina waitwa na wateule..
Pia kuna watu roho zao zimeumbwa kama za wanyama yani zinapotea tuu..
Ila mbinguni mbali hakuna mwenye uhakika wa kufika ni wachache sanaa kama mussa kidogo tu aende kwa shetani na mambo yote yale aliyofanya...
Natamani usome aya ya mwisho tena.Enhee maneno mazuri vipi kuhusu idadi?