Ulikosea kutokuota msituni 🙂kwann nisiwe hilo benchi??
nakosea wapi
Upo Addictive nazo?
Unandaa chapati mama?
Maandazi 🙂Unandaa chapati mama?
Ooh yakiwa tayari ningependa kuyaona.Maandazi 🙂




nakujaUpepo & mbu 🥴 View attachment 1687560
nakuja na maziwa
Uko vizuri nimeyatamani,
Sana mkuuUpo Addictive nazo?

Karibu sana 🙂nakuja na maziwa
Asante! Na yametoka matamu kweli kweli 🙂🙂Uko vizuri nimeyatamani,
Napenda maandazi na chapati sana.
Punguza lakini.Sana mkuu