Selfika na JF: Snap it. Show it

Una bahati sana Anne, tatizo hao jamaa watavumilia hadi pete kweli
Analyse alikuja pia humu

Yule ulikuwa unafwatilia movie yetu kwenye ule uzi mwingine.

Nikasema tu ungekuwepo hapa ungekaa makini kuangalia kinachotokea
 

Kibubu hicho, utakuja kuniambia badae sana!
Hamna
Ni ngozi tu ya mtu reaction yake iko haraka sana.
Nimeshasema pale hata mtu akipita pembeni nilipolala nasense hata km nipo usingizini
 

Space nitakupa tu ila si kuitafuta kwa style hiyo ya kunywa pombe
Unaenda kazini,unaenda kwenye mishe zako nyingine..kote huko uko pekeyako.

Ni kweli mwanamke anapenda awe na mwanaume wake muda wote,hata mimi nikikuwa mkubwa
natamani hicho kitu
Vipo vingi vinaharibu afya,sijaviongelea hivyo..nimeongelea pombe tu kwa sababu mada ni pombe.
Inaweza isizuie kumtumikia Mungu lakini ukiiacha utapata full time na nguvu zako zote utaelekeza huku(viwango)
Pia kwa mtazamo wangu Mimi Anne pombe ni dhambi
Hela zinaisha kwa namna nyingi ikiwamo hiyo ya kunywa...kwahiyo ikipunguzwa si mbaya..kama utaamua kupunguza pia ya kusukia ili iwe ngoma draw na kuacha pombe napo ni sawa tu..hakuna tatizo kabisa.
 
Ikishindikana kabisa kutokunywa basi nitamnunulia kila ziku ataikuta moja nyumbani.

Sasa wanaume unakuta wanakesha usiku wa manane vilabuni,wapo kuchanganya vilevi
muda waskukaa na familia ataupata wapi??nakaaje nyumbani mwenyewe?yaani unipeleke kwako vizuri halafu wewe uondoke,urudi saa8 kisa pombe??Mimi sitakuwa tofauti na mlinzi Suma wa nyumba yako.

Space mtu unapewa tu,basi nenda kanywe hata soda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…