Hii ni hatari sana, napiga marufuku kabisa mtu asiguswe. Kuna mkongo mmoja anawafaidi hatari, halafu wadada wanamsifia eti ana mikono mizuri....nasema hapa wanaliwa kimasihara
😆😆eti unapiga marufuku..
Kila mwanamke anatabia zake lakni huyo anepigwa game akiguswa tu mbona kazi anayo..maaan atakanyagwa sana kama barabara na kila mpka rangi
Nijichetue anivunjie adabu.
Naweka uso wa mbuzi ukiniona huwezi amini.hawanaga adabu wale ukiwalegwzea wanakukosea adabu hadharani..na mimi na mtu wa kunivunjia heshima ni fasta tu nakubadilikia bila mategemo

Kuna rafiki yangu skuli alikuwa ananicheka sana..... sometimes alikuwa anakuja ananistua na mikono begani yaani nastuka..
Ngozi yangu inasense vibaya Mno..hii ninayo hata usiku nikilala..mtu akipita karibu nasense kabisa huku nipo usingizini.