Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,389
Ivon chakachaka_umkombochiThrow back Thursday Huh!!! [emoji94] [emoji92]
Unasikiliza nyimbo za genre gani?
Please share
Mimi miziki ya asili
Daudi kabaka
Remmy ongala
Samba mpangala
Mbaraka mwishee
Les wanyika [emoji6]
Uchumi wa kati kwa vitendo
We jeradi si ulikuaga monta darasa nne wewe?Thursday is beautiful View attachment 1682360
Unilishe ndizi wakati kwa Mbwambo maskio ya kitimoto ni jero?Sehemu kama hizo unatakiwa uende na pocket money, ukifika mda unakula kona, wakija na vindizi vyao we unawachora tu
hahahahah nimeshtuka mzee wangu.We jeradi si ulikuaga monta darasa nne wewe?
Hata hizo ulizoweka ni nzuri piaNyimbo nzuri nazipenda pia
Now you're talking, nimekumbuka kwetu!
Sukulu jali ngafukaluuuuuumbu ghwangu....ghwe mwana nnunu....mwana ghwa mama ghwakoo
ukaighigwaa fiki
Karma uko wapi??
Wavulana wa Dar.Mwezi dume chips dume View attachment 1682529
Pasipo kusudio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Si kwa matusi yale wallaqi !Kwa wale nilio wakwaza kwa majibizano ya muktadha wa matusi pasipo kusudio naomba mnisamehe
Kumbe ni wewe dogo.musik addiction.....View attachment 1682573
Hiyo ni miziki ya asili nani kasema?Throw back Thursday Huh!!! [emoji94] [emoji92]
Unasikiliza nyimbo za genre gani?
Please share
Mimi miziki ya asili
Daudi kabaka
Remmy ongala
Samba mpangala
Mbaraka mwishee
Les wanyika [emoji6]
Asili ni nini?Hiyo ni miziki ya asili nani kasema?
Who is she?Mtwara, Kitaya Mambo yalivyokua sio Mambo last year before electionView attachment 1682634
AsiliaAsili ni nini?
Ungezungumzia ngoma za kisafwa na kisukuma apo sawaAsili ni nini?
Niishie tu kukushangaa 😐😐Uchumi wa kati kwa vitendo