Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani anne wewe mimi kabisa
Bora hata wewe umekaakaa mjini huko daslama..Sasa Mimi wa vijijini huku halafu eti nikapewe vijiti jamani[emoji23][emoji134]
 
Hahaha za mwanzo zimeshafutwa
[emoji44][emoji44]
Ngoja niwaambie mods wagome kuzifuta Kama ilivyowahi mtokea dada Fulani humu kipindi Uzi unaanza Anza..aliweka picha,kuifuta ikawa haifutiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ukinikuta nimekaa cafe ujue nimekalia ugali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Show ya ugali, Tena unakuta nimekaa meza wanakuja na wakaka wanakula ugali..
Aloo hapo ni kumenya ugali na mikono hadi napukutisha sahani..nikitoka hapo naenda kupiga pindi fresh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sasa akaanza kukucheka[emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui mkono ni rahisi kulia kuliko kijiko[emoji23][emoji23]
 
Yaan huwez amini watu wananshangaa nisivopenda chips, siwezi kabisaaa iwe kavu au sijui yai, mie huwa napika viazi vya kukaanga. Au napika losti nachanganya na ndizi mbivu.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wewe ni mtu wa kwanza kukusikia hupendi chips
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mammy wee acha tyuuh mazoea yana tabu, si unajua maisha ya kijijin, afu huwa swezi kufake yaan, na venye mjini tumekuja kwa lorry la mazao ya chakula bas tabu tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nakutania hicho kionjo tu ni Kama kisafisha njia naenda kula ugali kitimoto muda si mrefu ubebe gunia halafu ule vimbogamboga hivo maana huku chips wanaita mboga,
Ningeshangaa[emoji23][emoji23]
Hizo chips mimi hata kwa kuonja tu hazinitoshi,sembuse wewe unayeenda inua mahindi[emoji44]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…