Selfika na JF: Snap it. Show it

we jamaa unanivunja mbavu zangu Mimi

Mimi nyumbani nikipika chakula sometimes tunapakua kabisa kwenye sahani..basi nahakikisha namjazia kila mmoja Cha kutosha,,mtu akitoka hajashiba basi atakuwa na matatizo..najaza kiasi kwamba ukimaliza basi we mwamba.

Selfika kidogo basi, nilikumiss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…