Selfika na JF: Snap it. Show it


Baba kumbe na wewe ni muumini wa ule uzi

Naenda kusema kwa mama
Kwanini unafuatilia nyuzi za ajabu ajabu

Usinisemee, huwa napitapita kusoma..mimi mpenzi msomaji as sina vya masihara na hata ingetokea sidhani kama naweza kumwaga mboga kiasi hicho.!!
 

Usinisemee, huwa napitapita kusoma..mimi mpenzi msomaji as sina vya masihara na hata ingetokea sidhani kama naweza kumwaga mboga kiasi hicho.!!

Na mimi siku zote najuaga wewe baba yangu ni mstaarabu! Nikataka niseme huu ubaharia umeuanza lini tena au mama kaharibu!
 
Najiandaa tu Ice
Kupenda ni rahisi sana, hivi kwanini watu hawajui hilo, yani ukiamulia basi raha duniani, vitu vidogovidogo vinakonga moyo sana na akili, unaamka vikisses kido, unaenda kunywa chai vikissess kidogo, upo kazini vimsg kidogo baby umekula nini yani mpaka shetani anawakimbia

Tusingoje mpaka siku ya wapendanao duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…