The Queen of Sheeba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 342
- 2,975
Tena natongozwa hata mwanamke hatongozwi ivo, napewa ile status ya u,
serikali yako yenyewe imeshindwa. Poleeeeeeeeeeh
Nitapambana mwenyewe ktk hilo, wala wee hutakua unahusika kwa chochote.
Haya sasa Relaaaaaaaaaaaaax
Nitakusaidia kukusanya wafuasi muingie barabarani kupinga suala hilo sawa eeh.
Bikra nimetolewa mwezi uliopitaa, nikiwa ktk level yaMmefikia uku boarding mbaya Sana huyu mwamba sijui alitolewa bikra kidato cha ngapi?
Nitakusaidia kukusanya wafuasi muingie barabarani kupinga suala hilo sawa eeh.
Shoga achomolewee ata ale ban au njia nyepesi kumuignoreHuu uzi nadhani ni muda muafaka sasa ufungwe maana naona umegeuka wa kishoga
ππππππ
πππππ dah huyu dogo tulimuendekeza Sana laiti ningejua ni choko asingekula like yangu Wala quote na NINAKEMEA VIKALI SANA ADHABU YA WATU KAMA HAWA NI KUFUNGWA JIWE KUBWA SHINGONI NA WAKATOSWE BAHARINI fullstopcertified Gay.......kulalaleeeeek ( in billdrago voice)
Sio ku ignore ni ku block kabisa, kwan Tsh ngapi? AaaaaaahShoga achomolewee ata ale ban au njia nyepesi kumuignore
Anza chapu kwa haraka, sasa unachelewa nini.
Kabisa yaan,
Sasa km unakemea hilo na adhabu zake unazijua ni wazi ukaanza kutekeleza kwa vitendo, sio maneno tupu km serikali ya Tz inapinga kwa mdomo huku vitendo nidah huyu dogo tulimuendekeza Sana laiti ningejua ni choko asingekula like yangu Wala quote na NINAKEMEA VIKALI SANA ADHABU YA WATU KAMA HAWA NI KUFUNGWA JIWE KUBWA SHINGONI NA WAKATOSWE BAHARINI fullstop
EbohπSasa km unakemea hilo na adhabu zake unazijua ni wazi ukaanza kutekeleza kwa vitendo, sio maneno tupu km serikali ya Tz inapinga kwa mdomo huku vitendo ni.
Mbona wapo wengi wanaojitangaza wazi wazi na sijawahi ona wakipewa hizo adhabu. Au mie ndio sielew?
Mf, James Delicious anajiweka wazi wazi na alishatoa maudhui ya hilo suala hadharani, kilichofuata kukamatwa na kuwekwa rumande siku 3 katoka nje yupo uraiani anaendelea na maisha yake,
Akaweka tena maudhui hadharan, akaamriwa fine 5Ml zikatolewa case kwisha, sasa hizo adhabu unazozisema wee kutoka wapi? Km kutoka ktk vitabu vya dini mbona sijawahi on a dini au dhehebu lolote kuwahi kutekeleza hizo adhabu, ingali wapo wanao onesha wazi wazi suala hili hadharani.
Ni muda sasa jamii iwe buzzy na mambo ya msingi na yenye tija ktk kuleta maendeleo ya Taifa kwa ujumla, na sio kuwa buzzy kupinga suala la rasilimali ya mtu binafsi, tena ikiwa hawawezi kutatua tatizo hilo kamwe, ni upotevu wa muda.
Live ur own lyf, n mynd ur own bznes.
Tunaishi mara 1 tyuuh..........