Selfika na JF: Snap it. Show it

Nawe choko umezidi shobo na kujishaua. Yaani kuwa shoga basi unafikiri maisha umeyapatia. Ptu !!!
Wapi nilileta shobo na nani niliye mshobokea? Wee pia hujakatazwa kujishaua, uhuru ni wako. Maisha kuyapatia au kutoyapatia ni mie wala sio wee, msieeeeeeeeew!!!!
 
kwahiyo mkuu, wee ni kwamba ulizaliwa ukiwa na hormones imbalances, yaani ni wa kiume ila hormones za kike zimezidi au.....
ulizaliwa wa kiume ukiwa vzr kabisa bila tatizo la hormones imbalances ila umeamua/umependezwa mwenyewe kuwa gay??????
Hupaswi kujua hilo, na hata ukijua hutokua na faida wala hasara yeyote. Kuwa buzzy na mambo yako binafsi.
 
Wapi nilileta shobo na nani niliye mshobokea? Wee pia hujakatazwa kujishaua, uhuru ni wako. Maisha kuyapatia au kutoyapatia ni mie wala sio wee, msieeeeeeeeew!!!!
duh!! ila braza unamaamuzi magumu, yani umeamua kabisa mboo za wanaume wenzako ziwe zinazamishwa mkunduni mwako, lah!!!!!!!!!!
nawe unajiskia fresh tuu yani unaona poa tu, huo ni zaid ya ushoga.
 
duh!! ila braza unamaamuzi magumu, yani umeamua kabisa mboo za wanaume wenzako ziwe zinazamishwa mkunduni mwako, lah!!!!!!!!!!
nawe unajiskia fresh tuu yani unaona poa tu, huo ni zaid ya ushoga.
Chini ndo nimeeelewa make ulivosema braza na uliyemquote niliona kama umekosea
 
Hakuna heshima yeyote niliyovunja humu, hizo picha zipi zisizokua na maadili? Kwan ukosefu wa maadili n kuwa LGBT? najua kanuni na taratibu zote za hii forum, wala sijakiuka hilo. Hizo picha nilizoweka ilikua ndan ya comment ambayo nilikua namjibu mtu nka ambatananisha na picha ili aaone uhalisia wa kile anachokizungumzia,

Haikua haja ya watu wengine kuhangaika na kufurukuta kuhusu hilo kwani halikua linawahusu, na sidhan km wangekua buzzy na mambo yao binafsi km wangepata na chance kujadili suala ambalo kwao ni tatizo au haliwapendezi.

Umetoa hoja ya kutaka mabadiliko kwangu, unadhan wee ndo unaweza kunibadilisha kwa hayo maneno yako kutoka kwenye vitabu fulani? Mabadiliko yatafanywa na maamuzi yangu mie mwenyewe binafsi km nikitaka. Halafu hakuna hoja nyingine inayoweza kutetea wakati wa pingamizi ktk suala hili zaidi ya DINI?

kuhusu hoja ya DINI kwangu haina nafasi wala mashiko, labda kuwepo na hoja nyingine mbadala naweza kukubali kudadavua, unadhan kila mtu ana imani na hicho unachokopigania ktk pingamizi la suala hili?

Huko kwenye dini mie mwenyewe muumini mzuri tyuuh, nimeanza kushiriki ktk masuala ya dini tangu mdogo nikiwa na miaka 8, nimeshiriki shirika la watoto (KIPAPA), nimetumikia kanisani, nimeimba kwaya. na nimekulia familia yenye msingi imara ktk maadili na malezi.

Lakini yote hayo hisia zangu hazihusiani na hilo, na siwezi kufanya kitu ambacho sina ashiki eti niridhishe jamii inayonizunguka kwa kipi na ili iweje? Naishi vile mie nataka maisha yangu yawe, ili hali sivunji kanuni, taratibu na sheria za nchi zilizowekwa.

Samahani sana kwa maelezo haya, km nitakua nimekukwaza nisamehe tyuuh.
 
duh!! ila braza unamaamuzi magumu, yani umeamua kabisa mboo za wanaume wenzako ziwe zinazamishwa mkunduni mwako, lah!!!!!!!!!!
nawe unajiskia fresh tuu yani unaona poa tu, huo ni zaid ya ushoga.
Kwahiyo?
 
Ok, yameisha mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…