Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,386
Tuweke picha ila heshima ni Muhimu.Kwanza wee uliingilia mjadala usiokuhusu, sikua najibizana na wee,
Hiyo jamii gani unayosema kuwa sio sawa kwa LGBT? Hii ambayo kutwa kuzungumzia hiyo taasisi na wahusika wake?
Mbona hujiulizi siku zote sijawahi weka ila jana niliweka, na sio main post Bali ni comment ambayo nilikua namjibu mtu nkamuwekea na picha ili aone uhalisia wake.
Na hii ni forums wala sio barabarani km unavonasibisha wee, na pia hujakatazwa kuweka pic ukiwa unadendeka na fiance wako, uhuru ni wako weka tyuuu hakna atakae jali wala kuhoji. Labda km unaogopa [emoji358] yako kua [emoji356]. Hapo sawa.
Ukiona unakereka au kukwazika juu yangu, wee ni ignore na kun block kabisa. Kuepusha misuguano usiyokua na tija wala maana.
DuhIlikuwa ni Bus la kwenda Mwanza, nilikuta Traffic Officer ndiyo wanapima pima
Hahahamkuu unatusemea homeboi tena
#sokapohapo
Toast to thatSiwezi zungumzia dresses codes, maana kila mtu ana upeo na ufahamu wake binafsi ktk kuchanganua jambo husika, na mie siwezi kuingilia au kuzuia hao wahusika uliowataja kuvaa hivyo kwanza siwafahamu na sijawahi wasikia.
Kila mtu ana uhuru wa kufanya vile ambavyo anajisikia, ili hali havunji au kukiika taratibu na sheria za nchi, na km zikikiukwa basi mamlaka husika ita deal nao.
.....
Bia chungu *****
Yeah we Good!I miss y'all too. All is better, thank you for asking. I hope you're good as well.
kwahiyo mkuu, wee ni kwamba ulizaliwa ukiwa na hormones imbalances, yaani ni wa kiume ila hormones za kike zimezidi au.....LGBT ni suala pana sana na linahitaji tafakuri ya kina kulidadavua hadi kuja kueleweka. Na hapa nchini kwetu hili suala ni illegal kwenye jamii.
Hormonal imbalances ni tofauti na kua Gay, Kwa vipi mvulana kuwa na sura, sauti, mwendo, matendo ya kike sio uthibitisho kua n Gay. Maan kuna mtu anaweza kuwa na hiyo appearance ila akawa na mahusiano ya kimapenzi na msichana na asiwe kabisa ktk gayism relations.
kwa jamii zetu hapa nchini mvulana wa hormonal imbalances anatafsiriwa kua ni Gay, pasipo kua na uthibitisho km n kweli au lah, na ukizingatia hapa kuna changamoto za ukubalikaji wake lazima muhusika atatazamwa kwa jicho baya, hivyo muhusika anakua ktk hali dhaifu ya kujiona hana thamani mbele ya kadamnasi,
Changamoto inakuja hasa kwenye upande wa kupata Elimu especially shule ya boarding na zaidi ikiwa jinsia 1, hapa lazima muhusika ajue nafasi na thamani ktk maisha yake binafsi. Kutokana kuwa atajiona hayuko sawa na wengine hivyo kumfanya kutokua makini ktk mfumo lengwa wa Elimu.
Nashukuru Jah mie ni mtu muelewa na ninayejua nini kuhusu maisha yangu binafsi, nimekutana na changamoto nyingi ktk maisha ya jumla kwa shule nilizopita level zote (Ordinary with Advance) maana nimesoma shule za jinsia 1 tyuuh, tena advance nimesoma special school X kanda ya mashariki. Hivyo nina exposure ya kujua napigania vipi thamani na nafasi yangu ktk maisha binafsi.
Kutokana na hivyo huwa sipati shida ktk maisha kwa ujumla iwe kwa wazazi, ndugu, marafiki, watu wa karibu, na jamii yote inayonizunguka. Naishi vile me ambavyo nahitaji ili hali sivunji au kukiuka kanuni, taratibu, na sheria za chi zilizowekwa.
Hisia ni dhamana ya muhusika hapaswi kupingwa wala kuzuiliwa.
Hisia hazizuiliki. Ila faragha izingatiwe.
.............
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah we Good!
How is Ebbs treating you?
navuta hewa na hisia tuuHuvuti bangi
poor gay.....Sasa unataka nijichukie ili iweje? Eti wengine wanajuta labda hawana hisia hizo kiu halisia, waliingia aidha kwa kushawishiwa, tamaa, matatzo yao binafsi,
Na usitake kunifananisha na hao wengine unaowajua wee, maisha yangu binafsi kamwee hayawezi kupangwa na mwingine.
Najua unaumia na kukereka San kupitia hili, labda nikupe muongozo kuwa buzzy na watoto wako ktk malezi ili uwaepushe na hili. Sio uko buzzy kuangalia maisha ya mtoto wa mtu ambaye humjui wala hakujui, na huna faida wala hasara nae yeyote.
Halafu sijawahi kuona hoja zako ktk kupinga kile unachokusudia zaidi ya kutoa yowe zisizo na maana.
Mynd ur own bznes,
ni choko kavalishwa na pete...du hatari chief personally kama dogo nae ni choko Sina comment
Mkuu una hatari.
kulaleeeekini choko kavalishwa na pete...
hahahahahhahaah hilo kulaleek nimemkumbuka mwamba mmoja college akianza kulewa utasikia kulalaaleki bia tamu.....G kulaleeeekk tulewe tuukulaleeeeki